Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nashukuru weekend hii nilikua busy nimerudi hii jioni..napitia live score hapa dah..
 
Hehehehe
 
Qumamae dah washenzi wameenda na mtaji wangu yani Odd hiyo yakuniua mm

Ngoja Nina Spin
 
Hakuna kulalamika maana tukila pia huwa tunachekelea hapa hakuna kulala ulikoangukia,nyanyuka jipanguse na safari inaendelea.
Kwa leo sina changu na mtaji wote umesepa ila kesho mzigoni kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…