Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

koncho77 kuna mahali nimeona wachangiaji wakisema kwenye namba unaweza kudouble,je kwe rangi nako unaweza kudouble? na je ukidouble stake nayo inajidouble pia? au the same stake ila odds ndo zinakuwa 4?
 
Huu mchezo wa spin nahisi una formula flan ambayo kina Jimmy na sungusungu wanatumia..ila hawataki tu kuishare humu...mbona hata sisi tunacheza izo rangi na bado tunachakazwa!...acheni ubinafsi wakuu tupeni mbinu na sisi tushinde coz mhindi siyo ndugu yetu
 
Umekiona Nilichoelezea Hapo Juu
 
Spin haina formula mkuu asikudanganye mtu wewe cheza na machine tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…