HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Niliwahi cheza virtual nikawapiga hadi nikafikisha 500K. Baada ya hapo kila nikiweka hata kama ni goli 1 tu hawafungani.. nikaona ni ufala nikaachana nayo. Computer inakariri selection zako ma timu unazopenda zile timu piga ua hazitashinda ukizichagua