Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mchezo wa spin nahisi una formula flan ambayo kina Jimmy na sungusungu wanatumia..ila hawataki tu kuishare humu...mbona hata sisi tunacheza izo rangi na bado tunachakazwa!...acheni ubinafsi wakuu tupeni mbinu na sisi tushinde coz mhindi siyo ndugu yetu

Mkuu nichek pm tuongee kwa cm
 
HUYO SUNGURA NA JIMMY HAJALA CHOCHOTE KWENYE SPIN HIZO 360K NA ZINGINE WAMESCREEN SHOT ZA WATU TENA SIKU NYINGI SANA ...WAWEKE MIAMALA WALIOTOA HIZO WIN....HAHAHAHA...MSIWAFUATE MTUSEMA POOOOOOOOO

Mkuu ushazoea uongo uongo adi unahc kila mtu e
Basi sema tuna edit maybe utaeleweka
 
Mimi huwa natumia SofaScore na mara chache huniangusha ila ni pale tu napoamua kufuata hisia zangu mara nionapo sijapata majibu nnayoyataka mimi,,ila najivunia huwa inanipa hela ya supu..
Nafuata ka formula kangu kama hivi, unaeza kujaribu nawewe au ukatengeneza yako cha msingi ni kumpasua muhindi
Hili swali sijui ni kwanini huwa halijibiwi?
IMG_20191208_184057_779~2.jpeg
IMG_20191208_183736_324.jpeg
 
Mimi huwa natumia SofaScore na mara chache huniangusha ila ni pale tu napoamua kufuata hisia zangu mara nionapo sijapata majibu nnayoyataka mimi,,ila najivunia huwa inanipa hela ya supu..
Nafuata ka formula kangu kama hivi, unaeza kujaribu nawewe au ukatengeneza yako cha msingi ni kumpasua muhindi
View attachment 1285681View attachment 1285684
Cha msingi we tupia mkeka wako hapa tukopi ukishinda na Mimi baharia nimeshinda ukishindwa ni vilevile tu mi ningekuwa najua basketball ningeweka mzgo
 
Kufundishwa mbinu napo ni nzuri zaidi kwa faida yako incase mikeka haijatupiwa
Cha msingi we tupia mkeka wako hapa tukopi ukishinda na Mimi baharia nimeshinda ukishindwa ni vilevile tu mi ningekuwa najua basketball ningeweka mzgo
 
Mimi huwa natumia SofaScore na mara chache huniangusha ila ni pale tu napoamua kufuata hisia zangu mara nionapo sijapata majibu nnayoyataka mimi,,ila najivunia huwa inanipa hela ya supu..
Nafuata ka formula kangu kama hivi, unaeza kujaribu nawewe au ukatengeneza yako cha msingi ni kumpasua muhindi
View attachment 1285681View attachment 1285684
Mkuu Naimba Uelezee Japo Mechi Moja Hapo Juu, Kwenye Formula Yako Asante
 
Mfano may be hiyo ya Washington vs Indiana
Nilichukua lowest individual points za last 10 matches,,hiyo 107 ni ya individual points zza mechi walizocheza nkajumlisha na individual points za H2H 100 then nkatafuta wastani....jibu utakalopata unaenda nalo kwenye mkeka kuchek kama lipo lililokaribia na hapo kama halipo unaeza kuongeza hiyo 5 ili kulikaribia
 
Back
Top Bottom