kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Aluetega hapa acheki tu miamala
Deal done[emoji818]
Aluetega hapa acheki tu miamala
Huyu jamaa ni 🃏 jokeri haswa..Wee jamaa nimekuvulia kofia...salute! sana...game ya newcastle ilivyokuwa inaenda nilihisi ungepoteza...ningekuwa mimi nahisi ningechomoa mzigo mapema...you are a real gambler...big up! Bro
HongeraKwa machawi aroge kina jonjo nami sitaki cash outView attachment 1285454
BooomKwa machawi aroge kina jonjo nami sitaki cash outView attachment 1285454
Mkuu ucjari tunafika salamaMungu saidia SGR yetu nirudishe kamtaji bado vituo viwili tu.
Tukumbukane sio kwa vipigo tunavyopitia pesa ngumuuuuuuuuuuuuu,,.............Mkuu umenipa boooonge moja idea aiseee....shukrani saaaaaaana
Nasubilia live mkuu nifanye kama ulivoniambia
Unaonekana unaumia saana mkuu ... pole saanaView attachment 1285629View attachment 1285634View attachment 1285638
Mkuu nichek pm tuongee kwa cm
Sasa mkubwa, na hiyo timu favourite kwny mechi baada ya kuiongezea point 5 inakua ni under ama over?
Mi siyo mtaalamu wa basketball kaka, hiyo nmeitaja coz uliitaja janaIngependeza uonyeshe na namna unavyoitumia hiyo app kuweza kuweka ubashiri wako,,lengo ni kumpasua muhindi mkuu kama hutojali lkn
Mkuu hii app ndo flashscore?Haya wale wanaotaka kujua formula nnayotumia kwa individual points kwa timu husika, hebu jaribu kupitia hapa
Hii game inaanza saa 2 unaeza try ur luck
Utachukua average ya hizo points zenye duara jekundu,,jibu utakalopata kwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuwin unaeza kuiongezea alama 5 katika average uliopata then jibu hilo nenda nalo kwenye betting company ukaangalie kama lipo linalo karibia na hapo.
Kwa timu dhaifu jibu utakalopata nenda kampe under hilo jibu haina haja ya kujumlisha 5View attachment 1285728View attachment 1285729
Nmerejea baada ya likizo ya mwaka mzima