Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Awa mabwana wanachekeana tu
Screenshot_20191208-214103.jpeg
 
Mimi huwa natumia SofaScore na mara chache huniangusha ila ni pale tu napoamua kufuata hisia zangu mara nionapo sijapata majibu nnayoyataka mimi,,ila najivunia huwa inanipa hela ya supu..
Nafuata ka formula kangu kama hivi, unaeza kujaribu nawewe au ukatengeneza yako cha msingi ni kumpasua muhindi
View attachment 1285681View attachment 1285684
Hebu ufafanuzi wa hiyo kanuni mkuu
 
tren lang la behewa thelathin vijana wa steven gerrad na vijana kutoka ligi drja la pili pale uswisi wamefanikiwa mapema tu kulipindua likiwa limebakiza vituo kama kumi
Screenshot_20191208-215332.jpeg
Screenshot_20191208-215339.jpeg
Screenshot_20191208-215348.jpeg
Screenshot_20191208-215400.jpeg
Screenshot_20191208-215422.jpeg
 
Hii weekend nimekula loss ya maana sna, sasa naanza kuelewa kwann watu wanapotea humu... dah vipigo vimezidi mnooo
nimekosa hata pesa ya fegi....
Ngoja nikawashe hii moja iliyobaki
 
Back
Top Bottom