Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahahaha kuna watu humu wanasema spin haina utaalamu kuweka namba moja inahitajika utaalamu na analysis ya makini saana wakuu hii inahitaji uzoefu wa kucheza muda mrefu kama unahitaji kucheza namba ila sungu sungu kaweza coz nimemwambia acheze kwanza rangi kabla ya kuingia kucheza namba
Tupe maujanja unajuaje kua kati ya hizo zitatoka mana kunasiku uliweka stake 25,000 ukachagua namba moja tu naajabu ikatoka hiii imekaaje unastake high alafu namba uweke moja na itoke
 
Jr, my Fixed capital per day ni elfu 70,000 means nikistake na 1.50 odds(mech znatgmea ila hazizd mechi 4 za sure beti ila nying znaishia 2 matches) hiyo 1.50 n low odds estimation ambayo nikistake my day fxd capital inaboom my estimation earning natoka nasokon kbsaa rule no 1 ya muhimu sana zsizd 2odds per day.
Ngoja nfaate huo ujanja maana mhind so ndg wala so bnammh yetu acha tupeane maarifa...
 
Dah nimejaribu kuspin nikala ten hilo.
Nawaza nilale au niendelee kujaribu tena
Screenshot_2019-12-09-00-01-38.jpeg
 
inahitajika utaalamu na analysis ya makini saana
Hapa ndipo chenga ya akili ilipo; huu siyo mpira bali ni logical & maths analysis inayotumika! Recording inahitajika kwa kila spin ili analysis iwe na maana unapotaka kuitumia!
Kuna mahesabu yamejificha sana hapo!
 
Mimi usiku huu nimefanya kama kujaribu nikaweka 300 nikachagua green nikaspin nikala 10800 nikatoa 7000 yangu kama deiwaka nikacheza mara tatu naliwa tuu. Hapa nimeamua niache kwanza, kesho nikitulia ntaanza kufanya kwa analisisi make nimegundua ni suala la kucheza na namba
Hapa ndipo chenga ya akili ilipo; huu siyo mpira bali ni logical & maths analysis inayotumika! Recording inahitajika kwa kila spin ili analysis iwe na maana unapotaka kuitumia!
Kuna mahesabu yamejificha sana hapo!
 
Nimejitahidi nimefanya analysis zangu katika gurudumu langu nimegundua nanba 34 inarise ivo itacheza saana sasa kama sijafanya analysis vibaya 34 yaweza nipa matokeo mazuri ..KAMA TUNGEKUA TUNATUMIA TAKWIMU ZA GURUDUMU MOJA NINGEKUA NASHARE ANALYSIS
Screenshot_20191209-004624_Chrome.jpeg
Screenshot_20191209-004605_Chrome.jpeg
Screenshot_20191208-235918_Chrome.jpeg
 
Back
Top Bottom