kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Tayari
Mbona hujib pm
Mbona hujib pm
Wale wajeruman vip walitoa over 1.5??Nilikufuta kamanda tuombe Mungu
Dah mpaka naogopa kuwaangaliaWale wajeruman vip walitoa over 1.5??
Tupe formula mkuuKidogo kidogo naanza kuelewa hii kitu.... View attachment 1285867
Angalia uje na majibu[emoji1787][emoji1787]Dah mpaka naogopa kuwaangalia
Angalia uje na majibu[emoji1787][emoji1787]
Naipenda kwani 1.5 ipi ya over na undr au"JOURNEY TO THE MAGICAL OF JGB 2020"
Tittle kama linavoeleza niliwahi sema kuna
mwana kaniinspire hatarii alianza from $10k mpaka
$1,000,000 nkasema naanza nakuingiza
buku 10 kwa siku, badae akili ikacheza why?? Nisianze na research ya what if I make stake(yan real decision), rule no 1 n under 2 odds,rule no 2 day
earning must be 35,000 ndani ya mwezi huu
dec nilianza tareh 1 ni Jana tu Chelsea
nilimpa X2 kanichania Leo estimation ya
vpigo imeendelea,
Inshort, mwakan January Hii journey ni yakula 35,000 per day-mwez ni Mil 1 na 50 atleast ndan ya siku 10 niloose 1, na kila after 5days of my wining nimepanga kutoa Elfu 8000 kubless wenye uhitaji
Hapo. February, Earning per day naipandsha from 35,000 to 60000
[emoji23][emoji23]Kama kuna Wakala wa kanji humu afikishe salamu maana Mimi na deal na error odds from 1.50 hiyo n helaaa
Na Leo day 8 nilmpa
Ya leister 2X,
Ya Union Berlin over 1.5FT
Odds 1.51
Simple and clear kbsaaa staki tamaa
Akili hii sio wakuptza 1.50 odds frequently
Betting exp.imenipa somo la kutosha now its time to fVck the system
[emoji23]View attachment 1285906View attachment 1285908View attachment 1285910
Yeah mkuu, zaid ya goli moja full timeNaipenda kwani 1.5 ipi ya over na undr au
Hahaha inatokeaga brazaHali ikoje huko
Uliwah kubeti alafu unaogopa kuangalia matokeo? [emoji28][emoji28] ndo kinacho nitokea hapa
How much capital mkuu maana daah hapo nakumbuka ulisema maximum game3 au 2 hata m naamini ivo lakini daah faida hapo itafika kweli 35 Pey dayYeah mkuu, zaid ya goli moja full time
Kazi yangu ya usiku hii safari yangu ya kwanza ya muda huu nimeanza hivi... 23:26View attachment 1285946
Kazi yangu ya usiku hii safari yangu ya kwanza ya muda huu nimeanza hivi... 23:26View attachment 1285946
Jr, my Fixed capital per day ni elfu 70,000 means nikistake na 1.50 odds(mech znatgmea ila hazizd mechi 4 za sure beti ila nying znaishia 2 matches) hiyo 1.50 n low odds estimation ambayo nikistake my day fxd capital inaboom my estimation earning natoka nasokon kbsaa rule no 1 ya muhimu sana zsizd 2odds per day.How much capital mkuu maana daah hapo nakumbuka ulisema maximum game3 au 2 hata m naamini ivo lakini daah faida hapo itafika kweli 35 Pey day
[emoji119][emoji119][emoji119] jimmy spinner kamua mkuuKazi yangu ya usiku hii safari yangu ya kwanza ya muda huu nimeanza hivi... 23:26View attachment 1285946
Duh apo mdau umeweka stake ya ngapi na kwa kila namba maana naona km vile umeselect namba tatu tofauti