Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20191208-095824_Chrome.jpg

Hiyo imakaa vipi wadau?uhakika au?
 
Mkuu hiyo faida ya 40,000 unaipataje hapo

Mkeka uliopo active nilibet 25,000 - nategemea kupata 100,000 (hapa ni Leicester x2)

Mkeka ninaotaka kuweka tena ni wa 25,000 - nitategemea kupata 95,000 (hapa ni Aton Villa win)

Maana yake ni kwamba kwa vyovyote vile iyo mechi ni lazima yapatikane matokeo mawili ya hapo juu

Na maana yake ni kwamba ni lazima nitapoteza mkeka mmojawapo kati ya hio miwili,na ni lazima nitakula mkeka mmoja wapo.

total stake = 25,000+25,000,=50,000

Matarajio ya kula ni either 100,000 au 95,000

Faida itakua 40,000+
 
Wakuu leo kuna freebet ya 2000 hapa.

Nichek Pm nikupe mchongo. Ila hii itakubali kwa wasio na account parimatch yan namba yako iwe haijasajiliwa huko.
 
Mkeka uliopo active nilibet 25,000 - nategemea kupata 100,000 (hapa ni Leicester x2)

Mkeka ninaotaka kuweka tena ni wa 25,000 - nitategemea kupata 95,000 (hapa ni Aton Villa win)

Maana yake ni kwamba kwa vyovyote vile iyo mechi ni lazima yapatikane matokeo mawili ya hapo juu

Na maana yake ni kwamba ni lazima nitapoteza mkeka mmojawapo kati ya hio miwili,na ni lazima nitakula mkeka mmoja wapo.

total stake = 25,000+25,000,=50,000

Matarajio ya kula ni either 100,000 au 95,000

Faida itakua 40,000+
Kwahyo wakisuluhu je
 
Wakuu wa hizi kazi kwanza heshima kwenu,PILI NAOMBENI MSAADA WA KIMAWAZO HAPA

MKEKA WANGU UMEBAKIZA MECHI MOJA TU YA ASTON VILLA Vs LEICESTE CITY

NA MIMI CHOICE YANGU YA IYO MECHI NI X2(YAAN LEICESTER TO DRAW OR WIN)

UKITIKI TU,NAKULA LAKI 1,NILIBET 25,000

SINA OPTION YA CASHOUT MAANA BETPAWA HAWANA IYO OPTION

NISHAURINI NISUBILIE IYO MECHI IILI NIIPATE FAIDA YA 75,000?

AU NIBET TENA 25,000 NA KISHA NMPE ASTONVILLA TO WIN = HAPA VILLA KAPEWA ODD 4.5,MEANING KWAMBA NITAPATA 95,000?

View attachment 1285089
ACHA KUCHEZEA HELA WALE KINA VARDY SIO SULUHU WANAPIGA HATA 4 HUYO ASTON VILLA NA KAMA UNATAKA KUMPA VILLA SUBIRI KWENYE LIVE AKIPIGWA MOJA TU ODDS 15 UNAWEKA 5
 
Dah, Jana mikeka ya pesa ndefu imechanika
1.Timu 13 nikakosa 2
2.Timu 13 nikakosa 2
3.Timu 6 nikakosa 1
Nimekosa pesa ndefu, aluta kontinua....
Screenshot_20191208-100227_Chrome.jpeg
20191208_110709.jpeg
20191208_110544.jpeg
20191208_111320.jpeg
 
ACHA KUCHEZEA HELA WALE KINA VARDY SIO SULUHU WANAPIGA HATA 4 HUYO ASTON VILLA NA KAMA UNATAKA KUMPA VILLA SUBIRI KWENYE LIVE AKIPIGWA MOJA TU ODDS 15 UNAWEKA 5

Mkuu umenipa boooonge moja idea aiseee....shukrani saaaaaaana

Nasubilia live mkuu nifanye kama ulivoniambia
 
Wekeni mambo ya Leo ya uhakika zaidi wakuu au ni scroll huko juu nitakuta mikeka ipo tayar ya leo.Leo nina elfu 40000 haina kazi hapa sahiv nitakuwa naicopy ya huku naifanyia tathmini naweka mzigo

Mara ya kwanza nimetumia application ya fotmob kufanya uchambuzi maana wanaonyesha na mechi tano za mwisho kukutana matokeo yao na pia matokeo yao mechi tano mfululizo walizotoka kucheza mambo mengi tu ila Jana nimeishia kulala na viatu sasa ni mwendo wa kukopy kwa wazee legendary huku fanyeni mambo wakuu
 
Back
Top Bottom