Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mlio wahi kucheza spin na mnaoucheza tupeni mbinu wenzenu tunaambulia vipigo mwanzo mwisho yaani kila mbinu wapi tunamaliza tu hela mpaka nachukia aliyeileta humu bora angetuacha na mipira na basket ball zetu tu kila nikijaribu kurudisha kurudisha ela zangu napigwa tu
 
WALE WA SPIN TUMIENI HII MBINU HAMTAJUTIA

Hii Inaitwa "TWENDE HUMO HUMO"

Hapa Tunatumia Ranging Tu Na Tunaiacha Ile Green Maana Sio Rangi No Number Na Haiwezi Toka Mfululizo Mara 2 Au 3.

Baada Ya Kuliangalia Hili Dudu Nimegundua Method Ya Cheza Ranging Moja Ikiliwa Ongeza Sio Nzuri Kwa Long Term Win, Maana Kuna Muda Inatoa Namba Opposite Na Uliyoiweka Wewe Hata Mara 5 So Utakuwa Unazid Loss.

Mbinu Iko Hivi.

Chagua Rangi Yako Ya Bahati (Red Au Black)

Cheza Mchezo Wa Kwanza Mfano: Ikitoa Yoyote Red/Black Haijalishi Umeliwa Au Umekula.

Cheza Mchezo Wa Pili (Hapa Sasa Ndio Analysis Inaanza, Weka Pesa Kwenye Previously Colour Iliyotoka Mfano Ilitoka Red Uliweka 100, Weka Red Tena Kwa Mia 2)

Ikitoa Red Uliyoweka Next Session Punguza Dau Weka Mia Tena Kwa Namba Hiyo Mpaka Itakapogoma Kutoa Yaan Uka Loose.

Uki Loose Means Hilo Spin Linahama Linakuja Kwenye Rangi Nyingine So Double Hiyo Rangi, Ikiwin Punguza Stake Mpaka Utakapopata Loose Tena.

Ikitoa Green Achana Nayo Hesabu Kama Loose, Follow Previously Colour Iliyoshinda.

NILICHOJIFUNZA

Hili Spin Inajua Kabisa Kuwa Wewe Utawaza " Kama Sasa Hivi Imetoa Red Basi Inayofuata Black, Nalo Kukupiga Linaleta Red Tena Hata Mara 5 Kabla Halijabadilika.

Yaan Series Ya Colour Haiwezi Kuwa

BLACK, RED, BLACK, RED, BLACK, RED, BLACK Muda Mwingi.

So Inakuwa

RED RED RED au BLACK BLACK BLACK

Fanya Uchunguzi Utaniamin.
 
Sawa mkuu na mimi ntafika tu
Kaka we mbutue muhind upoze machungu asietaka kuelewa basi [emoji3][emoji3][emoji3]
Misafara ya mamba na kenge tumo
Screenshot_20191208-081857.jpeg
Screenshot_20191207-201118.jpeg
 
Mkuu umenipa boooonge moja idea aiseee....shukrani saaaaaaana

Nasubilia live mkuu nifanye kama ulivoniambia
Sawa unaweza ukadandia kipindi cha 2 au unasubiri city akiongoza unampa ashinde aston vila kwenye live wanakua na odds kubwa ila hapo hakuna maajabu wale wapo form kama liverkuku
 
Mlio wahi kucheza spin na mnaoucheza tupeni mbinu wenzenu tunaambulia vipigo mwanzo mwisho yaani kila mbinu wapi tunamaliza tu hela mpaka nachukia aliyeileta humu bora angetuacha na mipira na basket ball zetu tu kila nikijaribu kurudisha kurudisha ela zangu napigwa tu
me tangu jana napuluriwa tu dah ila nmeanza kuisoma ngoja
 
Ucweke namba tumia rangi
Hapo kwenye ku dabo unakuta umedabo rangi kama mara nane hivi pesa mpaka inafika 25,000 inamana unaidabo hiyo 25,000 kuwa 50,000 mpaka hiyo rangi ije unakuta haiji, nikuendelea tu ku dabo? Basi yataka mtaji mkubwa sana.
 
Hivi hiii spin two win INA watu wake maalumu kabisa au maana wengine kila tukitumia mbinu zilizowekwa na wadau huu hamna kitu naambulia kipigo tu yaani hata hakuna ujanja mwingine wakufanya yaani hata ninganganie rangi moja wapi unakuta umeamuwa kucheza black tu unadoble wewe mpaka ela hata raundi kumi na zaidi haiji nini shida kwangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mkuu pale chance ni 50 50 aiwez goma zaid ya mara tano mayb mtaji wako mdgo aoo itakusumbua
 
Mlio wahi kucheza spin na mnaoucheza tupeni mbinu wenzenu tunaambulia vipigo mwanzo mwisho yaani kila mbinu wapi tunamaliza tu hela mpaka nachukia aliyeileta humu bora angetuacha na mipira na basket ball zetu tu kila nikijaribu kurudisha kurudisha ela zangu napigwa tu

Mkuu unabet kuanzia sh ngo naumeweka capital kias gn??????
 
Hapo kwenye ku dabo unakuta umedabo rangi kama mara nane hivi pesa mpaka inafika 25,000 inamana unaidabo hiyo 25,000 kuwa 50,000 mpaka hiyo rangi ije unakuta haiji, nikuendelea tu ku dabo? Basi yataka mtaji mkubwa sana.
Mkuu ningumu sana kuzd mara tano au nne rangi haijaja pale sio mtu anaekupangia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mkuu pale chance ni 50 50 aiwez goma zaid ya mara tano mayb mtaji wako mdgo aoo itakusumbua
Ili uende fresh hata namba ikigoma zaidi ya mara tano inahitajika uanze na kama sh ngapi hivi ili usikwame njiani!!!
 
Hyo ni addiction mbaya sanaa. Kama lile bonanza la mchina.
Bora betting kidogo . ila spin wana chezesha.

Back
Top Bottom