euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,956
- 4,412
Hizo zenye odd kubwa waweza Weka DC
Hizo zenye odd kubwa waweza Weka DC
View attachment 1285040aisee tu spin tu maana kwa mtaj wa buku tano ad kufika apa na c chezi kila mara na nimeanza juzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu tukae tu umo saiz mambo yakusubiri dakika tisini ooh mara weekend yashaisha saiz tunamzingua tu muhindi
Mkuu machondela odds za leo vipi?sio hamasa ndo ukwel huo
hizi apaaaaa fezaaaaaNaomba mwenye total odds ya 2 yenye uhakika leo nataka nijilipue mazima wazee...muhindi hawezi kutajirika yeye kila siku kwa pesa zangu....liwalo na liwe
Ametaja mbinu nying nataka nijue ww unatumia ipi niifate
Wakuu wa hizi kazi kwanza heshima kwenu,PILI NAOMBENI MSAADA WA KIMAWAZO HAPA
MKEKA WANGU UMEBAKIZA MECHI MOJA TU YA ASTON VILLA Vs LEICESTE CITY
NA MIMI CHOICE YANGU YA IYO MECHI NI X2(YAAN LEICESTER TO DRAW OR WIN)
UKITIKI TU,NAKULA LAKI 1,NILIBET 25,000
SINA OPTION YA CASHOUT MAANA BETPAWA HAWANA IYO OPTION
NISHAURINI NISUBILIE IYO MECHI IILI NIIPATE FAIDA YA 75,000?
AU NIBET TENA 25,000 NA KISHA NMPE ASTONVILLA TO WIN = HAPA VILLA KAPEWA ODD 4.5,MEANING KWAMBA NITAPATA 95,000?
View attachment 1285089
Ningekua mimi ningesubiri ivo ilivo. Iko vzr nadhanWakuu wa hizi kazi kwanza heshima kwenu,PILI NAOMBENI MSAADA WA KIMAWAZO HAPA
MKEKA WANGU UMEBAKIZA MECHI MOJA TU YA ASTON VILLA Vs LEICESTE CITY
NA MIMI CHOICE YANGU YA IYO MECHI NI X2(YAAN LEICESTER TO DRAW OR WIN)
UKITIKI TU,NAKULA LAKI 1,NILIBET 25,000
SINA OPTION YA CASHOUT MAANA BETPAWA HAWANA IYO OPTION
NISHAURINI NISUBILIE IYO MECHI IILI NIIPATE FAIDA YA 75,000?
AU NIBET TENA 25,000 NA KISHA NMPE ASTONVILLA TO WIN = HAPA VILLA KAPEWA ODD 4.5,MEANING KWAMBA NITAPATA 95,000?
View attachment 1285089
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubuh nimeamka nina laki tatu na sitini safari ya kanani bado inaendelea[emoji16][emoji16]
Asante jimmmmmmmyyyyyyView attachment 1285094
Wakuu wa hizi kazi kwanza heshima kwenu,PILI NAOMBENI MSAADA WA KIMAWAZO HAPA
MKEKA WANGU UMEBAKIZA MECHI MOJA TU YA ASTON VILLA Vs LEICESTE CITY
NA MIMI CHOICE YANGU YA IYO MECHI NI X2(YAAN LEICESTER TO DRAW OR WIN)
UKITIKI TU,NAKULA LAKI 1,NILIBET 25,000
SINA OPTION YA CASHOUT MAANA BETPAWA HAWANA IYO OPTION
NISHAURINI NISUBILIE IYO MECHI IILI NIIPATE FAIDA YA 75,000?
AU NIBET TENA 25,000 NA KISHA NMPE ASTONVILLA TO WIN = HAPA VILLA KAPEWA ODD 4.5,MEANING KWAMBA NITAPATA 95,000?
View attachment 1285089
Ningekua mimi ningesubiri ivo ilivo. Iko vzr nadhan
subiria pesa hiyo mkuu
Chukua mzigo huo utajutaMkuu kumbuka lakini apo ni kama nimeambiwa nichague moja kati ya haya:
Kupata faida ya 40,000 yenye uhakika kabisa
Au nisubili kupata faida ya 75,000...lakini kuisubilia hii naweza nikapata hasara ya 25,000
Daaah kichwa kinawaka moto hapa!!
Acha ela iyo kabisaMkuu kumbuka lakini apo ni kama nimeambiwa nichague moja kati ya haya:
Kupata faida ya 40,000 yenye uhakika kabisa
Au nisubili kupata faida ya 75,000...lakini kuisubilia hii naweza nikapata hasara ya 25,000
Daaah kichwa kinawaka moto hapa!!
Mkuu hiyo faida ya 40,000 unaipataje hapoMkuu kumbuka lakini apo ni kama nimeambiwa nichague moja kati ya haya:
Kupata faida ya 40,000 yenye uhakika kabisa
Au nisubili kupata faida ya 75,000...lakini kuisubilia hii naweza nikapata hasara ya 25,000
Daaah kichwa kinawaka moto hapa!!
Mkuu Naomba muongozo hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubuh nimeamka nina laki tatu na sitini safari ya kanani bado inaendelea[emoji16][emoji16]