thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
we kama umeshatilia shaka Fanya unachoweza kufanya maana pesa ni yako...faida au hasara vyote ni vyako...so chagua kunyoa au kusuka.....
Mkuu kumbuka lakini apo ni kama nimeambiwa nichague moja kati ya haya:
Kupata faida ya 40,000 yenye uhakika kabisa
Au nisubili kupata faida ya 75,000...lakini kuisubilia hii naweza nikapata hasara ya 25,000
Daaah kichwa kinawaka moto hapa!!