Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na wao wanapigwa sana tu, sema hawaonyeshi lost zao
 
Spin haina formula mkuu asikudanganye mtu wewe cheza na machine tuu.
Michezo ya algorthin computerized ina level...kama haujapiga pesa wakati unaanza kucheza ukifika spins 80unakuwa advanced level ingawa hauwezi kutambua. Inakuwa complex hats uchaguzi wa rangi.
Believe me kuna levels.
 
Well said.

Nimeweka 600, nimacheza 300 nikapata 10,800/=
Nimecheza tena 300 nimepigwa so bado nina kafaida ka 10,000 hivi.... Kumbe ukiwa serious unaweza pata hela chap
 
Mzee unesoma programming nn??
Michezo ya algorthin computerized ina level...kama haujapiga pesa wakati unaanza kucheza ukifika spins 80unakuwa advanced level ingawa hauwezi kutambua. Inakuwa complex hats uchaguzi wa rangi.
Believe me kuna levels.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…