Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Formula iyo jana imechemka vibaya sana
Formulae ile iko too mathematically, labda iwe hukuielewa.

Ngoja nikufafanulie na kwa faida ya wengine humu. Mfano timu ikishinda sana (highest) ni 88 na ikishinda kidogo (lowest) ni labda 80. Hapa ukitafuta average (88+80)/2 utapata goli 84.

Sasa chukua hizi goli 84 ongezea zako 5 za tahadhari ziwe 89 kisha cheza under, ndicho alichomaanisha mleta hii hoja. Kwenye kamari lolote laweza kutokea, sio Sababu hapo kabla hajawahi kuvuka 88 basi udhani kua hata sasa hatovuka 89, ila probability ya kuvuka ni ndogo kuliko probability ya kutovuka.

Sasa basi wewe tuambie kwa kufuata mtiririko wangu hapo juu, wewe ulichukua timu ipi, ukapiga vipi hesabu zako na matokeo yake yakaja vipi mpaka useme formula imechana mkeka "Vibaya sana",

Karibu!!!!
 
kama uliweka ujue pesa ya chai umeshapata!! first quarter ilinipa pressure but 2nd quarter niliamini watarud vizur.....
Screenshot_2019-12-09-10-25-39.jpeg
 
Hahaha Mkuu kwanza wewe unaweka dau gani kwa mara moja,nami naweza kuunga mkono juhudi zako za kuacha kibarua.Me natembea na mia 5 mia 5 faida sipati kabisa.

Elfu moja mkuu nakula au kuliwa ni sekunde15 hivyo niki double c narudisha ela na faida so nikila mara10 nina elfu10 within one or two min inategemeana na doubling time
 
Sasa mkuu wewe unacheza color ambayo huwa ina double tuu unatumia muda gani kutengeneza 50K ukizingatia maximum stake haizidi 2K? Au ndo unazirudia rudiaa

Mkuu elfu50 naweza kuipata ndani ya dakika kumi hadi kumi na tano ina depend na how busy i am apo naongelea nikiwa free
Kumbukeni msiweke tamaa ww focus kucheza naku double buku tu incase umeliwa ukianga kuweka stake za elfu tano labda uwe na mtaji mrefu sana nakweli utampiga muhindi but mtaji wa elfu 30 cheza buku buku utanikumbuka
 
Wakamaria Wengi Tumetawaliwa Na Wivu

MTU Aki Post Win Watu Wanaanza Kumshambulia

Nina Experience Ya

Idiot
Going Concern

Na Sasa Ni Huyu Jimmy Scami


MTU Akipost Win Wataanza Kumshambulia Na Kuonyesha Kuwa Hawakubalian Na Alichokifanya Badala Ya Kumpa Blessings Na Kusema Hard Work Pays.
Watu Wanataka Wao Ndio Wawe Top Wengine Wadidimie

Kama Adui Yetu Ni Mmoja Lazima Tuoeane Moyo Na Kufurahi Mtu Akitoboa Iwe FOOTBALL, HOCKEY, SPIN Au Hata Karata.

Sasa Wewe Watu Wanafundishwa Jinsi Ya Ku Spin Wewe Unakasirika, Is It Fair?????

Tubadilike.

Waambie ao
Iv awajui mtu kama mm namshukuru sana aloleta spin umu ad sasa nimeanza kunenepa
 
SPIN INA HITAJI MTAJI LABDA KUANZIA ELFU 10 ILI UWEZE KUFANYA ANALYSIS ILI UWEZE KUGUNDUA IPI NI HOT NUMBER YAANI INAYO RISE MARA NYINGI.
 
Mkuu elfu50 naweza kuipata ndani ya dakika kumi hadi kumi na tano ina depend na how busy i am apo naongelea nikiwa free
Kumbukeni msiweke tamaa ww focus kucheza naku double buku tu incase umeliwa ukianga kuweka stake za elfu tano labda uwe na mtaji mrefu sana nakweli utampiga muhindi but mtaji wa elfu 30 cheza buku buku utanikumbuka
Hii fomula ya ku double ili urudishe loss na faida kidogo inaitwa Martingale Rule.
Kuna muda inaleta bonge la hasara kwasababu kama unacheza rangi kuna muda rangi moja inatokea zaidi ya mara kumi. Kwahiyo utajikuta huwezi tena kuendelea coz utakuwa umefika kwenye maximum stake na hapo umeshapoteza hela nyingi sana
 
Back
Top Bottom