Weka kiunzi kingine tu booom mana spin imenifanya kitumbaya leo
Mkuu imenipita hyo naomba nyngne ya kupata lunchBINGO [emoji91][emoji91]
BINGO [emoji91][emoji91]
Mkuu imenipita hyo naomba nyngne ya kupata lunch
Mimi huwa natumia SofaScore na mara chache huniangusha ila ni pale tu napoamua kufuata hisia zangu mara nionapo sijapata majibu nnayoyataka mimi,,ila najivunia huwa inanipa hela ya supu..
Nafuata ka formula kangu kama hivi, unaeza kujaribu nawewe au ukatengeneza yako cha msingi ni kumpasua muhindi
View attachment 1285681View attachment 1285684
Nimewatega tena 3Q watoe42.4
Hii fomula ya ku double ili urudishe loss na faida kidogo inaitwa Martingale Rule.
Kuna muda inaleta bonge la hasara kwasababu kama unacheza rangi kuna muda rangi moja inatokea zaidi ya mara kumi. Kwahiyo utajikuta huwezi tena kuendelea coz utakuwa umefika kwenye maximum stake na hapo umeshapoteza hela nyingi sana