Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,133
- 3,401
Sawa mkuu lakini usiseme ni impossible, ebu angalia hapa black colour imetokea mara ngapiMkuu kufika mara kumi impossible
Mayb una assume but pale chance ni 50 50 so any namba can occur
Na kama una muda nenda ugoogle hiyo martingale strategy in roulette huone shuhuda za wenzako.
Sikukatishi tamaa ila ujiandae hiyo situation inaweza kukuta anytime.