Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
INPLAY SEA WOMEN [emoji459]
Hyo ya kwanza quarter ya pili niweke over ngap?
Quarter ya kwanza nmechelewa
Hujaonesha option sasa
Angalia column ya kwanza chini ya timu husikaHujaonesha option sasa
Katika watu siwa aamini ni women yaani hawatabirikiHuyu Malaysia [emoji1157] Women pumbavu kweli yani Dk8 vikapu viwili tu? Anyway, ALUTA CONTINUA.
So sadChupu chupu anasee ... Odds 211, nilikuwa naanza kula kuku wa Christmass mapema sn.
View attachment 1286272
tatizo mkuu watu wanakurupuka then wanakuja kulalamika sometimes kwa mahesabu yako yanaweza yakatick au yakabuma maana kikapu huwa kuna usenge sometimes kama kwenye football unaweza ukakuta team kawaida inauwezo wakupiga average ya point 80 na kuendelea siku ukimfuata unashangaa anatoa under.....so guys ushauri ni kwamba sio kwamba kila formula inayotumika huwa siku zote inatick...nataman watu waelewe neno ubashiri linamaana gani!! nahisi wakielewa hili neno sidhani kama kutakuwa na hizi complains.....Formulae ile iko too mathematically, labda iwe hukuielewa.
Ngoja nikufafanulie na kwa faida ya wengine humu. Mfano timu ikishinda sana (highest) ni 88 na ikishinda kidogo (lowest) ni labda 80. Hapa ukitafuta average (88+80)/2 utapata goli 84.
Sasa chukua hizi goli 84 ongezea zako 5 za tahadhari ziwe 89 kisha cheza under, ndicho alichomaanisha mleta hii hoja. Kwenye kamari lolote laweza kutokea, sio Sababu hapo kabla hajawahi kuvuka 88 basi udhani kua hata sasa hatovuka 89, ila probability ya kuvuka ni ndogo kuliko probability ya kutovuka.
Sasa basi wewe tuambie kwa kufuata mtiririko wangu hapo juu, wewe ulichukua timu ipi, ukapiga vipi hesabu zako na matokeo yake yakaja vipi mpaka useme formula imechana mkeka "Vibaya sana",
Karibu!!!!
SPORTPESA SIGN UP na LOGIN IN vinanileteaga maneno haya tangu mwaka JUZI. Tatizo huwa liko wapi. MSAADA wadau!
View attachment 1286470View attachment 1286471
inawezekana ulishajisajili Ila hukumbuki password yakoSPORTPESA SIGN UP na LOGIN IN vinanileteaga maneno haya tangu mwaka JUZI. Tatizo huwa liko wapi. MSAADA wadau!
View attachment 1286470View attachment 1286471
SPORTPESA SIGN UP na LOGIN IN vinanileteaga maneno haya tangu mwaka JUZI. Tatizo huwa liko wapi. MSAADA wadau!
View attachment 1286470View attachment 1286471
Mkuu Wewe Huwa Unaangalia Nin Kwenye Over Under Zako Za Basketball?ukisikia kuponea kwenye tundu la sindano ndo huku...but thanx God...kama ulifuata huu hope umepata chochoteView attachment 1286591
I can win 57K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Princess bet kwenye spin 2 wako hovyo kweli kweli...ukicheza nao unapoteza hela yako..Mtu umeshinda mkwanja wanakupa loss