Salum Mazwazwa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2015
- 1,256
- 1,369
3+goals
Wadau tupie dondoo za leo, Game ya Arsenal tunatoka vipi?
Wadau tupie dondoo za leo, Game ya Arsenal tunatoka vipi?
Nimelichek liko poowa tu, dua zenu wadau nimeshapanda gari moshi mapema tu.I can win 1 036K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Dua zenu.. .vituo 25
Wakuu naombeni ushauri wenu
Jee niache kibarua changu ninacho tegemea elfu12 kwa siku ili nipate muda zaidi wakucheza SPIN kwani tangu juzi nimeanza mambo moto na asubuh kama ya leo nimeamka nimecheza cheza kama dakika saba nimepiga elfu hamsini(50)
Naona kibarua kinachukua muda wangu mwingi na matunda yake madgo
Ushauri wenu[emoji16][emoji16]
Mkuu Wewe Huwa Unaangalia Nin Kwenye Over Under Zako Za Basketball?
Nimespin na Princess bet nimekula 460K tangia asubuhi hadi muda huu haijaingia kwenye muamala. Hawa kumbe ni hovyo sanaMkuu umesema ukweli kwenye spin wanaokula wana undugu kiasi na mhindi sio bure watu tume spin kila namna ila wapi
I can win 1 036K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Dua zenu.. .vituo 25
Asante mkuumkuu mm nacheza na hesabu pamoja na muenendo wa game kwenye quarter coz kwa experience yangu mfano katika quarter ukiona ndani ya dk 3 wamefungana point zaid ya 10 ujue hiyo quarter ina asilimia kubwa ya kutoa over 40 na kuendelea so kama kwenye market yao ukiona wamekuwekea over/under 39.5 au 42.5 we tembea na over...
Ila kuna game zingine mfano betpawa wanaziweka kwenye live play lakini unakuta kwenye application yangu ya kuangalia matokeo haipo nachokifanya naingia site ya 1x bet naangalia hiyo game inaendaje kwenye quarters so hapo nafanya maamuzi kulingana na upepo unavyoonekana....
Mkuu Uliingia Na Mtaji Wa Tshs Ngap?Nimespin na Princess bet nimekula 460K tangia asubuhi hadi muda huu haijaingia kwenye muamala. Hawa kumbe ni hovyo sana
daah umeongeaa neno sana mkuutatizo mkuu watu wanakurupuka then wanakuja kulalamika sometimes kwa mahesabu yako yanaweza yakatick au yakabuma maana kikapu huwa kuna usenge sometimes kama kwenye football unaweza ukakuta team kawaida inauwezo wakupiga average ya point 80 na kuendelea siku ukimfuata unashangaa anatoa under.....so guys ushauri ni kwamba sio kwamba kila formula inayotumika huwa siku zote inatick...nataman watu waelewe neno ubashiri linamaana gani!! nahisi wakielewa hili neno sidhani kama kutakuwa na hizi complains.....
haya mambo ya kubeti ni guessing tu ingawa records za nyuma zinatusaidia kutupa mwanga....sometimes muwe mnajiuliza kwann huwa hawaweki vikosi kamili kabla ya mechi unakuja kuonyeshwa vikosi baada ya game kuanza? coz wanaamini ukipewa fursa ya kujua kikosi basi muhindi anaweza akafunga biashara yake mazima so hawa watu huwa wanashirikiana.....
mwisho ni kuwa jiamini na analysis zako kama umeamua kuingia kwenye huu mchezo natumaini ulikaa chini ukafikria namna ya kupata pesa lakini sio kwamba unajiwekea tu kwa kuwa umeona team fulan inacheza na kibonde au vinginevyo......make your own formula to **** this muhindi business!! I know you can....don't wait for someone else strategies coz you will never understand it just create your own....here we will give you key points and awareness in a certain games....
any questions concerning in basketball am here to answer all!!
Hii game weka GGWadau tupie dondoo za leo, Game ya Arsenal tunatoka vipi?
ApaI can win 1 036K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Dua zenu.. .vituo 25
Nimetandika namba mkuu..hawa jamaa I bet hawataweza kudumu kwenye huu mchezo maana utawafilisi mbaya...Ukiamua ule siku nzima unaweza maana ukisteki namba zote kwa mfano kisha ukaacha moja pekee unakuwa na faida na probability ya kushinda ni 99.999999 percent.. Yan kuingiza spin kwenye betting wameenda bonge la chaka na inaonekana wameishiwa ndiyo maana wameshindwa kulipa on time..Achana na rangi, sijui odds, even, dozens, half range wewe tandika namba exactly. Nimekumegea ingawa huku mtaani sitowapa makamaria maana khanjiby ataiondoa very soon so acha tumgonge kwanza.Mkuu Uliingia Na Mtaji Wa Tshs Ngap?
Na Je Unakomaa Na Rangi Tu .