Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii njia ni nzuri sana ila inataka mtaji na ni hatari maana ukiacha namba moja halafu ikaja hiyo namba unakuwa umelose pakubwa kweli
Mkuu ni vigumu sana kutokea unaweza kushinda mapambano 9 kati ya 10 au yote kabisa...Mimi naacha walau namba nne halafu naangalia trend inaangukia wapi mostly.. Hayo mambo ya ku double unaweza kupoteza sana kuliko kupata. Mimi kwa upande wangu naona football betting atasubiri sana na ndiyo maana sites kama betpawa hawana spin 2
 
Mkuu mbona tunaelezea humu? Nimeiona PM yako ila fuatilia humu tumeelezea mkuu.
Mkuu kwa msaada wako tu naomba mnielekeze tena maana mi ile staili ya kuduoble sipati kabisa dakika tatu nakuwa sina changu mbinu nyingine je
 
IMG_4640.JPG


Wakuu msaada, najaribu kutoa pesa Meridian bet tokea saa tatu asubuhi, ila pesa haitaku kutoka
 
Mkuu ni vigumu sana kutokea unaweza kushinda mapambano 9 kati ya 10 au yote kabisa...Mimi naacha walau namba nne halafu naangalia trend inaangukia wapi mostly.. Hayo mambo ya ku double unaweza kupoteza sana kuliko kupata. Mimi kwa upande wangu naona football betting atasubiri sana na ndiyo maana sites kama betpawa hawana spin 2
Sasa jamaa ikitokea umechagua namba zote ukaacha moja alafu kati ya ulizochagua mojawapo ikashinda, je zile zingine ulizoziwekea dau hawakati pesa yao, au wanadeal na namba iliyoshinda tu?
 
Back
Top Bottom