Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji378][emoji95] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hapo ushamalzan nae

Imeisha hyoo
imeisha hiyo
Screenshot_20191210-000104.jpeg
Screenshot_20191210-000207.jpeg
 
Wadau eeh! Tukubaliane kitu kimoja, kwenye uwanja wa kamari hauna mwenyewe na asilimia kubwa loss ni kubwa kuliko wins, yeyote anaevuna mamilioni au maelfu kiuhalisia Keshamenywa pesa nyingi Sana mpk kufikia kuvuna kias hicho Cha pesa, binafsi nmejaribu gambling za aina nyingi ambazo zimekua zikijadiliwa apa jukwaan lakin mwisho wa yote conclusion yetu ni moja na inafanana kwamba VIPIGO NI VINGI KULIKO VIPOOZO isipokua tu tunapishana nyakati na viwango. Tuendelee kukomaa kwwnye game but tukumbuke tu kuacha akiba kwa kila mavuno tutayojaaliwa kuokota ili kupunguza machungu inapotokea lost ambapo ni sawa na muhindi kurudisha chake naww kubaki na chako [emoji120]. ALAMSIKI
 
Hatimaye nimepata mbadal wa mayu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23] ttzo lako unajiogop shusha laki soka
hahahahah ..siku zote nikishusha mzigo unaondoka hata sielewagi kabisa
 
Wadau eeh! Tukubaliane kitu kimoja, kwenye uwanja wa kamari hauna mwenyewe na asilimia kubwa loss ni kubwa kuliko wins, yeyote anaevuna mamilioni au maelfu kiuhalisia Keshamenywa pesa nyingi Sana mpk kufikia kuvuna kias hicho Cha pesa, binafsi nmejaribu gambling za aina nyingi ambazo zimekua zikijadiliwa apa jukwaan lakin mwisho wa yote conclusion yetu ni moja na inafanana kwamba VIPIGO NI VINGI KULIKO VIPOOZO isipokua tu tunapishana nyakati na viwango. Tuendelee kukomaa kwwnye game but tukumbuke tu kuacha akiba kwa kila mavuno tutayojaaliwa kuokota ili kupunguza machungu inapotokea lost ambapo ni sawa na muhindi kurudisha chake naww kubaki na chako [emoji120]. ALAMSIKI
Mkuu Mimi sikubaliani nawewe kabisaaa hizi kauli

1.loss ni kubwa kuliko win

Hii naifanyia research mkuu hakuna kitu kama hicho tatizo letu ni tamaa wengi tunataka kutajirika overnight ndo inapelkea hivo hatutaki kula kismart na kuheshim betting as job

Kweny research yang Leo ni day 9 Nina win 8 loose 1(na hiyo moja ni mpuuzi mmja anaitwa Chelsea alshindwa kutoa X2)

Soon mtatakuja nielwa ngja research ya December iishe, nianze my Journey January
 
ARSENAL GG N OV 2.5 BOOOOOOM
WESTHAM.WIN EITHER HALF WIN
 
SPIN 2 WIN!!!!!

SPIN 2 WIN!!!!!

SPIN 2 WIN!!!!!

SPIN 2 WIN!!!!!

Huu mchezo ni rahisi kupata pesa pia ni rahisi kupoteza pesa but at the end of time muhindi hushinda.

Baada ya kujaribu jana na leo nimepoteza zaidi ya 650K ambayo kwenye football betting ingenichukua muda sana kuliwa hiyo according to stake zangu.Najuta mie!!

Jana nili_deposite 300k niks_spin mpaka ikafika 500k+ then mambo yalibadilika ikabaki 60k+.

Leo nili_deposite (Morning) 300k nika_spin mpaka ikafika 500k+ then muhindi akachukua ikabaki 150k+ nikakwazika nika_withdraw yote.Jioni shetani wa ku_spin akanishawishi nika_deposite 200k na mpaka sasa akaunti inasoma BUKU 1 TU!!!!

Kwa kweli sijawahi kupigwa pesa nyingi namna hii kirahisi hivi.Kwenye football betting huwa inatokea but ni kwa muda mrefu sana.

NATANGAZA RASMI KUACHA MCHEZO HUU PESA NITAENDELEA NA FOOTBALL BETTING TU.

SPIN TO WIN UNIKOME KABISA!!!
 
Back
Top Bottom