G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Nikikuhadithia nilichoweka nimeanza na 10800 na sijafell tangia niweke mzigo asubuhi hadi saa sita mchana..Usiku nahamia perimatch nasikia siyo wababaishaji kwenye kulipa acha nile maana sports betting mtu una mkeka wa laki nne kinakuangusha ki ajax ambacho ulitarajia kingekutoa na vi odds vyake 1.06 inauma sana. Spin 2 haina stress kama unaijua naona huku watu mnatafuta 10K kwa taabu wakati kwenye spin ni ishu ya mechi moja ya sekunde kadhaa.Mkuu Uliingia Na Mtaji Wa Tshs Ngap?
Na Je Unakomaa Na Rangi Tu .