Formulae ile iko too mathematically, labda iwe hukuielewa.Formula iyo jana imechemka vibaya sana
Sure, mkuu most of us tunataka kutajirikaHongera sana kamanda...hii inaitwa "a highest discipline" ambayo ukiweza kui-maintain lazima utusue....tatizo letu wakamaria wengi ni "tamaa" ya kumpiga mhindi haraka haraka inatu-cost
inaanza SAA tatu na nusu twende sawa basketball hiyo AustraliaView attachment 1286151
inaanza SAA tatu na nusu twende sawa basketball hiyo AustraliaView attachment 1286151
Hahaha Mkuu kwanza wewe unaweka dau gani kwa mara moja,nami naweza kuunga mkono juhudi zako za kuacha kibarua.Me natembea na mia 5 mia 5 faida sipati kabisa.
Sasa mkuu wewe unacheza color ambayo huwa ina double tuu unatumia muda gani kutengeneza 50K ukizingatia maximum stake haizidi 2K? Au ndo unazirudia rudiaa
acha utumwa huo,ila hakikisha izo hela unazompiga muhindi tafuta mradi ufanye biashara zako,Huwezi kumla muhindi kila siku!
Wakamaria Wengi Tumetawaliwa Na Wivu
MTU Aki Post Win Watu Wanaanza Kumshambulia
Nina Experience Ya
Idiot
Going Concern
Na Sasa Ni Huyu Jimmy Scami
MTU Akipost Win Wataanza Kumshambulia Na Kuonyesha Kuwa Hawakubalian Na Alichokifanya Badala Ya Kumpa Blessings Na Kusema Hard Work Pays.
Watu Wanataka Wao Ndio Wawe Top Wengine Wadidimie
Kama Adui Yetu Ni Mmoja Lazima Tuoeane Moyo Na Kufurahi Mtu Akitoboa Iwe FOOTBALL, HOCKEY, SPIN Au Hata Karata.
Sasa Wewe Watu Wanafundishwa Jinsi Ya Ku Spin Wewe Unakasirika, Is It Fair?????
Tubadilike.
Aisee ngonja tuone★Westham - Arsenal
2 - 2 Exact Score
GG N OV 2.5 (MAXB)★Westham - Arsenal
2 - 2 Exact Score
Weka kiunzi kingine tu booom mana spin imenifanya kitumbaya leoBINGO [emoji91][emoji91][emoji91]
Hii fomula ya ku double ili urudishe loss na faida kidogo inaitwa Martingale Rule.Mkuu elfu50 naweza kuipata ndani ya dakika kumi hadi kumi na tano ina depend na how busy i am apo naongelea nikiwa free
Kumbukeni msiweke tamaa ww focus kucheza naku double buku tu incase umeliwa ukianga kuweka stake za elfu tano labda uwe na mtaji mrefu sana nakweli utampiga muhindi but mtaji wa elfu 30 cheza buku buku utanikumbuka
acha u*****ewe kahaba unakuwaga na wivu sana