Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yap Muda wowote unacheza lakini lazma ucheki kwanza Takwimu kuna kitu wanasema Moto sio za kuacha hizo...
asante mkuu niliweka mtaji wa 1300 sasa hivi nina 3100 nilipanda mpaka 5300 kwa stake yangu ya 300 tu.[emoji119]

sijawahi kujihusisha na hii kampuni tangu nijiunge nayo almost two months ago. lakini sasa naweka rasmi kambi kwenye Virtual games

tamaa mbaya sana[emoji108]

thanks in advance mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…