Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tunawaonaga wakulima *******


Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Perimatch hanaga masihara kabisa. Asubuhi nusura aniangamize nikaomba poo nikarudi mchana nikatengeneza changu nikafunga hesabu nikaondoka kwenye huu mchezo naenda kutundika dharuga maana kashanishtukia angle yangu. Onyo huu mchezo usijaribu kama una njaa eti unataka ukutoe maana utapigwa kuliko sele said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…