Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Sure bro, tujaribu Kila Kona ila tusiongozwe na tamaa. Ukifanya maamuzi kwa msukumo was tamaa lazima ikugharimuBetting ya huko ndio unaweza data, maana utajikuta umepoteza muda na nguvu ulichofanya hakuna. Yaani kila ninaemdodosa kuhusu kilimo yeye ni kilio tu[emoji3][emoji3].
Kwenye maisha yetu hatujui kesho yetu. Chochote fanya kwa weredi na kujituma, mwisho subiri matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app