Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

70%

Handicap

Stake what you can afford to lose
Screenshot_2019-12-11-18-01-31-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku niliyoacha keno ni baada ya kwenda makao makuu ya kampuni moja maarufu sana kwa options nyingi za futball na kukuta wahudumu wapo busy na computer kila mtu na yake ukiweka pesa nyingi kwenye number mf 5 itoke ukaweka laki 1 yeye anabonyeza kibutton cha kuchange mzunguko niliwasoma kwa Kama saa 1 nikiwa narekebisha ticket yangu ya futball toka hyo siku KENO BYE BYE BYE

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitosahau siku niliyopigwa elfu 15 ya LUKU.
Keno mmmmhhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa elfu 15 pesa ndogo hiyo nishawahi kupigwa kama 780k kwa siku moja halafu hela hiyo nilikuwa nadaiwa na mtu nilipanga kumpa siku ile siju jini gani lilinipeleka kwenye moja ya shop za kubetishia hapa mjini mwanza weee kuanzia siku ile huwa sitamani hata kuingia kwenye lile jengo na nikipita maeneo hayo moyo wangu huwa unauma sana nikikumbuka nilivyopoteza pesa ndefu kiasi hicho ndani ya saa moja
Yaani KENO sitaisahau maisha yangu yoote ilinivuruga sana mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PREMATCH [emoji459] Tip

Odds 1.8

Russian Super League

Start: 07:00 PM

Adjustments.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom