Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku niliyoacha keno ni baada ya kwenda makao makuu ya kampuni moja maarufu sana kwa options nyingi za futball na kukuta wahudumu wapo busy na computer kila mtu na yake ukiweka pesa nyingi kwenye number mf 5 itoke ukaweka laki 1 yeye anabonyeza kibutton cha kuchange mzunguko niliwasoma kwa Kama saa 1 nikiwa narekebisha ticket yangu ya futball toka hyo siku KENO BYE BYE BYE

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwa hyo inawezekana hata mzee baba yule wa laki nane yalimkuta haya, kila akiklik ije black wazee wa it wanaclick ije gree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20191211-221438.png
Screenshot_20191211-221452.png
Nasibilia kipenga kipulizwe 700 inaleta 500k+
 
Back
Top Bottom