Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naombeni mnisaidie mitandao ya kubet inayofaa kutoa hela kabla mechi hazijaisha maarufu kama turbo layout
 
Naombeni mnisaidie mitandao ya kubet inayofaa kutoa hela kabla mechi hazijaisha maarufu kama turbo payout
 
Niliwahi kusema hapa kuhusu michexo ya algorithms...kitu nikichofikiri kwa sasa no kimoja. Ukitaka kuwin algorthim kwanza kuwa na account mpya isionyeshe iadi ya spins pale juu. Utaweza kumla mhindi. Ukifika level Fulani achana na huo mchezo. Toa hela kafanye mengine. Ila idad ya michezo ikiwa inazidi huwezi kubeat computer.
 
aisee ni kweli.
Hata kuna game ukianza hua simple kwa kadiri unavyopanda level ugumu unaongezeka na kuna level ndio huwexi kushinda kabsaaa
 
puffuuu
Screenshot_20191211-174609.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom