project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
share mkuu,.tusafiri pamojaniaje arifu? leo nina SGR linaenda mpaka kesho sasa hapa nawaza sijui nishare humu ama vipi, maana nikishare naishia kula za uso tena inauwa game moja tu.
niaje arifu? leo nina SGR linaenda mpaka kesho sasa hapa nawaza sijui nishare humu ama vipi, maana nikishare naishia kula za uso tena inauwa game moja tu.
niaje arifu? leo nina SGR linaenda mpaka kesho sasa hapa nawaza sijui nishare humu ama vipi, maana nikishare naishia kula za uso tena inauwa game moja tu.
Lilete mtu wangu, wadau tuendeleze mapambano....niaje arifu? leo nina SGR linaenda mpaka kesho sasa hapa nawaza sijui nishare humu ama vipi, maana nikishare naishia kula za uso tena inauwa game moja tu.
Naomba msiufuate....leo nimevurugwa baada ya kuchezea vichapo jana na juzi, kwahiyo leo hii ni mihemko tu!!!....kama Mungu atajalia haya.....Inshallah!
View attachment 1289065
Hii inafanana na ile ya jana ............mmmmh! wajuzi tujulisheni hii kitu ipo sawa tuifuate???...mimi moyo unakataa kabisa kama jana !
View attachment 1289072
GSB (GAL) Tanzania....nafikiri umeniuelewa hapo
PREMATCH [emoji459] Tip
Odds 1.8
Russian Super League
Start: 07:00 PM
View attachment 1288857
Sent from my iPhone using JamiiForums
kama upo dsm nenda premier bet HQ..waambie una tatizo la player blocker,watakupeleka kwa watu wa IT ndani ya 15min issue inakuwa solved na unaweza toa pesa yako papo hapowakuu nataka.kutoa premier naambiwa hivyo nakwama wapiView attachment 1288664
Sent using Jamii Forums mobile app