Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui niweke 500k hapa[emoji4]
Mambo yamejipa leo kanji kalala na viatu. Sitoi kitu kesho natafuta odds 4 natia mzigo nitoe 10m faida itakuwa 9.5m
Screenshot_20191212-005322_Chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu iyo ni very possible lkn kimbembe inapokuja issue ya KUWITHDRAW, njia gan unatumia???
Hatua ya KWANZA,

JISAJILI NA HUDUMA YA AIRTELMONEY-MASTERCARD kwenye simu yako

" Mastercard! Lipia Bidhaa na Huduma mtandaoni kwa urahisi na Airtel Money Mastercard. Pata kadi yako kwa kupiga *150*60# Chagua 6 kisha 1"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom