Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sio spin tu hata huku pia nipo [emoji1635][emoji1635] laki tano sio haba.... somebody sad raly bado unataka battle???
20191212_092728.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spin tam sana, kama wenyewe wanavyokupuna aste aste, tujero jero twako.. Nawewe wachukue mdogo mdogo kama wafanyavyo wenyewe, nimepiga 6000 asubuhi natulia, nitaendelea mchana. Hata wafanyabiashara wakubwa, anaingia gharama kununua Costa Tsh.milioni 40 ili aje akusanye 400 za abiria barabarani. HIVI BADO HUJAJIFUNZA KITU?
 
Mnatumia app gan kuspin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom