soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
hapo umeweka dau kiasi gani mzee babaCapital ya kubetia EUROPA[emoji1635][emoji1635].... KING OF SPINView attachment 1289921
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusanya za kubetia EUROPAView attachment 1289970View attachment 1289971
Sent using Jamii Forums mobile app
mkeka uliti barca kashinda juve kashinda natoa shukrani kwa aliepost ule mkeka mtaji umepatikana naombeni na zaleoNakukumbusha tu Barca ameshafuzu = hana cha kupoteza hata akipigwa, Inter anahitaji ushindi wa hali na mali tofauti na hapo Dortmund akishinda game yake anapita.
Nakusanya kusanya badoView attachment 1290003View attachment 1290004
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Jimmy akutuma screen shoot ya alizo kula kwenye spin tu win watu wanadhani ni rahisi kula kudadeki jaribu uone
Nimeitafuta sana Hii game bt jamaa katoka nayo mazimaWakuu game ya liverpool vs astonvilla
waliokuwa wamempa liverpool odd kubwa mbona saiz sioni, huku parimatch naona wameitoa kabisa,
Au wamesituka deal, kloop ataweka majeshi yake,
Liverpool alikuwa ana odd 14.02
Hizi odd hata kama wanacheza kikosi b siwezi kuziacha aisee
Wap hii game ipoo, parimatch wameitoa, betpawa siioni,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimmy we ni nouma sana hebu tupe Hayo mauchawi yakoNakusanya kusanya badoView attachment 1290003View attachment 1290004
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameona lolote kinaweza tokea. Mfano mzuri ni odds alizopewaga Barcelona juzi na za Juve jana.