DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Nmekupata mkuujibu simple na clear ni kwamba tafuta game yenye odds kuanzia 1.1 na kuendelea kisha ubetie na kiasi cha pesa ulichoweka Mara ya mwisho.... so kama ulideposti 20000 basi bet kwa hiyo 20000 then baada ya hapo ndo unaweza kuwithdraw