Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 903
- 1,528
Wathailand 2nd Quarter wameamka na wamechangamkaSubiri pesa. Mimi nimecheza Over 36.5
Wathailand 2nd Quarter wameamka na wamechangamkaSubiri pesa. Mimi nimecheza Over 36.5
Sikupi jibu, nakupa njia ili jibu upate mwenyewe.Sijawahi kubet kichaa Leo nataka nijaribu. Naomba msaada hizi zina maanisha Nini kwenye option huko betpawa?
1/2
2/1
2/2
1/1
x/1
1/x
x/2
2/x.
Asanteni.
SAE Women [emoji459] INPLAY
2Q Over 36.5
Salio lako likoje na ulitumia hiyo card kuweka hela?
InPlay BasketballView attachment 1287636
twende sawa....risk but potential wish u gudluck View attachment 1287628
jibu simple na clear ni kwamba tafuta game yenye odds kuanzia 1.1 na kuendelea kisha ubetie na kiasi cha pesa ulichoweka Mara ya mwisho.... so kama ulideposti 20000 basi bet kwa hiyo 20000 then baada ya hapo ndo unaweza kuwithdraw
Mwenyewe kajibu kasema hajala unalipi la kuongezea?we kama huwez wenzako wanaweza na nyie ndo wale wachawi niliokuwa nawazungumzia Jana!! SHAME ON YOU BUDDY
Mkuu naona uko poa. Ila huyo Shandong vs Jiangsu nina wasiwasi nao. Teams zinacheza Defensive game muda mwingi.
Mimi nimetoka ki-hivi.
NB: STAKE ACCORDINGLY
View attachment 1287667
Umesoma maelezo jamaa kajibu kasema hajala bado ayaSasa mtu aedit mkeka kwa faida ya nan? Mtu ajizulie jambo? Ebu tupe motives behind mkuu!!jamaa kashinda hapo si rahisi kuedit, kama unaweza ni editie mechi za leo UEFA weka stake 25000, alafu win weka 600,000 mpaka saa 6 mchana ukiweza kuna 15k ya bureee nakupa!!
Wathailand 2nd Quarter wameamka na wamechangamka
Aisee football tunapoteza muda na pesa tu kule!!
yah...nimeliona hilo mkuu lakini this is gambling anything can happen ...we win or we lose
Shukrani Sana mkuu. Nimeuona mwanga. Nataka Leo nivunje record ya kuotea uefaSikupi jibu, nakupa njia ili jibu upate mwenyewe.
2= Away = Alieko Ugenini
1= Home = Anaecheza Nyumbani
X = Draw
/ = inagawa vipindi, cha kwanza na full time .
So hapo ni nani ashinde kipindi cha kwanza na nani ashinde full time.
It simply means umekinzana na Sheria yao inayokutaka kubetia kwanza hela uliyodeposit kwa angalau odds ya 1.1 ndio uweze kuendelea kufanya muamala wa kutoa pesa.
mkuu naisi umeamua kujilipua ila naufuata huu mkeka
Poa, hebu nijaribu kufanya hivoIt simply means umekinzana na Sheria yao inayokutaka kubetia kwanza hela uliyodeposit kwa angalau odds ya 1.1 ndio uweze kuendelea kufanya muamala wa kutoa pesa.
Hauruhusiwi kuweka na kutoa hela bila kutandika mkeka wowote. Hapo unatakiwa utandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 ndio uendelee na mlolongo wa kutoa hela vinginevyo haiwezekani.
Sijui nimeeleweka?