Kutoka kwa mtu alienidokeza, ni kwamba anaitumia pia kutolea pesa.
Hebu ngoja nifanye Kama nawithdraw afu ntaleta mrejesho
Naanzaje ili na mimi nipate hiyo airty MasterCard? Unawapigia simu au kuna link ya kujiunga? Msaada tafadhali
AsanteSubiri kwanza mrejesho wa ku withdraw
AirtelMoney wanatumia MASTERCARD NA SIO VISACARDishu[emoji20][emoji20]View attachment 1287605
Nlikua nafikiria apo kwny kwny chelsea weka GG tuGuys toane maneno yenu hapo kwny huu mkekaView attachment 1287542
hongera mkuu kwa spin
mkuu na-TAP kwenye Mastercard ina nidirect kwenye hiko nilichoshot hapoAirtelMoney wanatumia MASTERCARD NA SIO VISACARD
Eeeenh bana eeeeh, endelea na makamuzi mbaba. Mm mwenye 20k kwa siku uwakika siku hiziSoma iyooooo
View attachment 1287521
Mkuu ingia kwenye menu yao ambayo ni *150*60#Naanzaje ili na mimi nipate hiyo airty MasterCard? Unawapigia simu au kuna link ya kujiunga? Msaada tafadhali
AirtelMoney wanatumia MASTERCARD NA SIO VISACARD
InPlay BasketballView attachment 1287636
Eeeenh bana eeeeh, endelea na makamuzi mbaba. Mm mwenye 20k kwa siku uwakika siku hizi