Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani mtafanya akimbie nchi huyu bwana kanjibah mpole ktk kampuni zote hapa tz nadhani hii ndio inaongoza kuonewa.

Nasubiri nione picha yako pale kwenye hell of fane sorry Hall of fame 😀😀😀

hahaha ...
 
Ukimuelewa Sad Raly Na Hawa Wahuni Wengine Hutopata Tabu Kabisa.

Kinachotuponza Wote Ni Tamaaaaaaaaaaaaaa

Tuache Tamaaaaaaa

Tuache Tamaaaaaaa

Tuache Tamaaaaa

Nakupa Mfano:

Umesema Kwanza Uli Deposit 300k Ikafika 500k

Kwanini Haukutoa 300k Au 400k Yako Ukaanza Kucheza Na Faida???

Ulicheza Bila Malengo! Ulikuw Hujui Unahitaj Profit Kiasi Gani.

Na Najua Baada Ya Kufika 500k Ukapandwa Na Mzuka Ukaanza Ku Spin. kwa 10k Au 20k Wakat Plan Yako Previously Ni Stake Ya 5k Had I 3k.

SIO SPIN TU HATA FOOTBALL AU HOCKEY UKIWEZA KUZISHINDA TAMAA WEWE NI TAJIRI

Kila mda nawaambia tamaa hazifaiii mtu akisha pata viela anataka apige nyingi kwa mkupuo
 
Kuna timu za Uingereza kama vile Arsenal, Man u, Man C zinachana sana mikeka.
Binafsi huwa nahisi zinacheza deal na makampuni ya kubet
 
SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
Aiseee ... Odds 10453 !!! BIG UP saana Chief
 
SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
Sasa mtu aedit mkeka kwa faida ya nan? Mtu ajizulie jambo? Ebu tupe motives behind mkuu!!jamaa kashinda hapo si rahisi kuedit, kama unaweza ni editie mechi za leo UEFA weka stake 25000, alafu win weka 600,000 mpaka saa 6 mchana ukiweza kuna 15k ya bureee nakupa!!
 
IMG_7099.JPG
 


Barcelona wamesha-qualify na hawana cha kupoteza, wanaongoza kundi lao kwa pts 4. Kimbembe kipo kati ya Dortmund na Inter Milan ... kila mmoja anahitaji matokeo leo ...

Msimamo wa Kundi F:

1575961948131.png


Lionel Messi, Jordi Alba, Gerrard Pique ni miongoni mwa wachezaji ambao hawatacheza leo.
Inter Milan ana nafasi kubwa ya kushinda hiii game leo.
 
SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA

Duuh ! ... kwamba hupendi watu wanavyotusua?
 
Back
Top Bottom