Disc Joker
Member
- Jun 21, 2019
- 41
- 59
Kajiekea limit kwamba hakuna anae piga mshindo wakati vijana wanapambana Kongole kwa wana wote wapambanajiDuuh ! ... kwamba hupendi watu wanavyotusua?
Kajiekea limit kwamba hakuna anae piga mshindo wakati vijana wanapambana Kongole kwa wana wote wapambanajiDuuh ! ... kwamba hupendi watu wanavyotusua?
BANGO NI KUBWA NILISEMA KANJI AKAE MLEE SIKU SABA NIKIMAANISHA MKEKA UMEANZA JANA JTATU LEO JNNE KESHO JTANO ALHAMIS IJUMAAA NAPUMZIKA NAENDELEA JMOS MPAKA JPILI SIKU YA 7... WAPO 27 JANA WAMEKATA MAUNO WATU SITA ..LEO NAHISI WAPO WATANO..HIZO NI BAADHI YA MABOMU NILIYOYASETISIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
BANGO NI KUBWA NILISEMA KANJI AKAE MLEE SIKU SABA NIKIMAANISHA MKEKA UMEANZA JANA JTATU LEO JNNE KESHO JTANO ALHAMIS IJUMAAA NAPUMZIKA NAENDELEA JMOS MPAKA JPILI SIKU YA 7... WAPO 27 JANA WAMEKATA MAUNO WATU SITA ..LEO NAHISI WAPO WATANO..HIZO NI BAADHI YA MABOMU NILIYOYASETI
mkuu share nasi mkeka wako,.
Ukimuelewa Sad Raly Na Hawa Wahuni Wengine Hutopata Tabu Kabisa.
Kinachotuponza Wote Ni Tamaaaaaaaaaaaaaa
Tuache Tamaaaaaaa
Tuache Tamaaaaaaa
Tuache Tamaaaaa
Nakupa Mfano:
Umesema Kwanza Uli Deposit 300k Ikafika 500k
Kwanini Haukutoa 300k Au 400k Yako Ukaanza Kucheza Na Faida???
Ulicheza Bila Malengo! Ulikuw Hujui Unahitaj Profit Kiasi Gani.
Na Najua Baada Ya Kufika 500k Ukapandwa Na Mzuka Ukaanza Ku Spin. kwa 10k Au 20k Wakat Plan Yako Previously Ni Stake Ya 5k Had I 3k.
SIO SPIN TU HATA FOOTBALL AU HOCKEY UKIWEZA KUZISHINDA TAMAA WEWE NI TAJIRI
Pole saana mkuu hii katika spin ni kitu cha kawaida hii tunaita *psychology affection* nafaham fika kua ulivofikisha 500k ukapanda dau zaidi ili uifikie 1m pasipo kujua discipline in rollette matter... ila pole saana
Ni kweli hajala huenda mkeka bado uko hewani maana ungeandika mwishoni Won ,sasa hapo hakuna neno won watu wanapongezaSIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
Duuh ! ... kwamba hupendi watu wanavyotusua?
Ipo michezo mingi apo ni upi mnaucheza?
Rahisi Sana, sekunde tu hela ishatokaKutoa vipi?
Kudeposit fresh ila kutoa issue kuna jamaa angu aliitumia mwezi october alifeli kutoa maana airtel hyo card haipokei pesa toka mitandaoniHatua ya PILI
KUPATA KADI YAKO YA MASTERCARD
Baada ya usajili kukamilika, utapokea sms kuthibitisha pamoja na link ya KUPATA KADI yako.
Mf:
"Ndugu Mteja,Airtel Mastercard 533322XXXXXX0782 kwa ajili ya manunuzi imetengenezwa.Bonyeza https://qwik.cards/d2pkLq kupata taarifa za kadi yako."
Kutoka kwa mtu alienidokeza, ni kwamba anaitumia pia kutolea pesa.Kudeposit fresh ila kutoa issue kuna jamaa angu aliitumia mwezi october alifeli kutoa maana airtel hyo card haipokei pesa toka mitandaoni
Ok, itabidi nisajili line yao.Rahisi Sana, sekunde tu hela ishatoka