Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ok, itabidi nisajili line yao.
usidanganye wenzio..waambie kutoaa pia min amount lazima iwe 130000..hyo ni min amount..mimi cjawah fikishaa hyo min amoint..kuna mdau alisemaa hata ukifikisha hcho kiwango bado inasumbuaa kutoaa..ko fanya utafit ndo usemee..mm nlideposit 10...kwa airtel mastercard..nkafikisha jumla ya 70000..kujarib kuitoaa nkaambiwa min 130..dah nkachoka kabisa
 
DeepPond umejaribu kutoa kiasi cha pesa, lakini ndani ya hicho kiasi kuna kiasi umedeposit, then umeomba kuwithdraw bila kubet. Ulikuwa na kiasi fulani cha pesa ambacho hakijafikia kiwango cha kutolewa, then ukadeposit kidogo ili kifikie kiwango cha kutolewa na ukajaribu kutoa.
Operator amepewa mamlaka ya kudecline miamala ya mtindo huu ili kuzuia utakatishaji pesa na mambo mengine.
Ili pesa yako iweze kutoka, ni lazima ubeti hiyo hela uliyodeposit kwa mara ya mwisho kwa odds kuanzia 1.10
Ok, hapo nmekupata mkuu,

Basi ngoja Leo nizungushie

Nna iman kufika kesho asbuh hicho kiasi kitakua kishafikia.

Kisha ntajaribu tena kuwithdraw.

Ntaleta mrejesho kesho asbh
 
Wakamaria heshima kwenu odds 2 tu over/under nahitaji msada tutani jamani
Hizo za Over/under

chukua hizi mbili chini
Screenshot_20191210-151405.jpeg
 
FC SALZBURG vs LIVERPOOL FC
Both Teams to Score:Yes1.38
SSC NAPOLI vs KRC GENK
Over / Under Over:2.51.34
BORUSSIA DORTMUND vs SK SLAVIA PRAGUE
Over / Under Over:2.51.46
INTER MILANO vs FC BARCELONA
Both Teams to Score:Yes1.62
SL BENFICA vs FC ZENIT ST PETERSBURG
1X2:12.07
 
Soccer->International Clubs->UEFA Champions League, Group E
FC SALZBURG vs LIVERPOOL FC () -
Double Chance : 1X2.02Placed
Pre-match2019-12-10 23:00:00Soccer->International Clubs->UEFA Champions League, Group F
INTER MILANO vs FC BARCELONA () -
Double Chance : X22.25Placed
Pre-match2019-12-10 23:00:00Soccer->International Clubs->UEFA Champions League, Group G
SL BENFICA vs FC ZENIT ST PETERSBURG () -
1X2 : 12.07Placed
Total Odds9.41
 
Back
Top Bottom