Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Adjustments.JPG
 
Server ya Meridian hovyo sana. Inaninyima pesa InPlay Kazakhstan [emoji459] Game ya Astana Inafaa InPlay!
 
Server ya Meridian hovyo sana. Inaninyima pesa InPlay Kazakhstan [emoji459] Game ya Astana Inafaa InPlay!
 
Jiangsu vs Shandong huwa wanacheza Defensive BBALL. Over 58.5 sidhani mkuu. Tena 4Q angalau 3Q. Kila la kheri lakini. Hii ni Gambling.


Kweli aisee, Q4 walianza kwa moto, wakaja kulegea kadri muda unavyozidi kwenda ... wamemaliza na vikapu 54. BET LOST
 
Ma Treni yanapishana hayo moja latoka Pwani jingine bara mungu saidia hata moja lifike

Kanji asiluke viunzi vyote ivyo
 
Back
Top Bottom