thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Parimatch
Mbona vilio vya kubet ndio vimejaa huku kuliko hata hivyo vya virtual games na kuspin
Sawa mkuu
Wengine mitaji tunayo ila uoga...Mambo yamejipa leo kanji kalala na viatu. Sitoi kitu kesho natafuta odds 4 natia mzigo nitoe 10m faida itakuwa 9.5mView attachment 1289352
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu watu wanaogopa kuweka process za 1x sababu wabongo wanafitina sana,ukiweka tu hapa unashangaa kesho payment method hiyo wameondoa,kwahiyo tunakaa kimya tu..ila kwa sasa mastercard 1x haifanyi kazi kwa muda,huwezi kuwithdrawProcess zipi nifanye ili niweze kutoa hela kwa hii 1xbeti via A/mastercard.
Naomba mniwekee hatua
Mkuu odd 15 sio kaz nyepesi kuzivuna
Wengi tulimpiga jana yaani unalia ikifika UEFA day ukitulia unastake high unakula safi tu.Leo vilio vimepungua humu ndani! kweli xiku azifanani ngoja nimsalimie kanji lamastee babujii
Zikianza kesho mpaka j2 sio mbayaMkuu odd 15 sio kaz nyepesi kuzivuna
Kwa game za jana zilivokuwa ni simple ila leo europa n hatar tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Capital ya kubetia EUROPA[emoji1635][emoji1635].... KING OF SPINView attachment 1289921
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimmiiii muue uyu sio rafiki yetu
Ngoja nimuandalie nguvu niwe natafuta laki tu kwa cku niache tamaA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nilikuambia nitadeposit 20k ili nipate japo 100k ya kubetia europa hio hapo simple tu[emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Sent using Jamii Forums mobile app