4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,208
- 8,310
Hao naona siku hizi wako vzr sana kwenye kutoa "Over" za konaMa_germany sasahivi yameshakuwa maxenge maxenge sana leverkusen kasepa na hela ya supu! alafu team zote zina tick
Game tight ... it could go either way. Niliwapa "Under 3.5"Barca Akishinda hii game naaacha kubetii maisha, akijtahd draw [emoji23][emoji23] yani anakufa mda c mrefuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubil buyern tu hapaPsg win
City win
Juve win
Buyern win
Ajax win
Barcel win or draw
Celtic win
Pesa hiyooop odd 6
Sent using Jamii Forums mobile app