BOOOOOOOOOOMMAN U WIN
OLYIMPIACOS WIN
LIV WIN
DINAMO ZAGREB WIN
B.MUNCHEN OV 1.5
MAXBET ALL
CONGRATULATIONSOFO CRETE FT X
Mkeka huu unatisha sana, sikukatishi tamaa ila umebebelea matimy makubwa makubwa sana japo machaguo yako hayana risk kivile
Mkuu hapo haina haja ya ku-cash out....hapo Kanji hachomoki ata aende "Sumbawanga"😝😝Hii ndio shida ya kubet na kampuni hazina cash outView attachment 1296924
Matumizi mabaya ya rasilimali "Odds"KANJI IPO SIKU UTAELEWEKA KABILA LAKO TUView attachment 1296829View attachment 1296830View attachment 1296831View attachment 1296832View attachment 1296833View attachment 1296834
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni official?Wale wazee wa BetPawa, App Mpya ya Betpawa hiyo Kwa urahisi wa kubet[emoji116]
Hii ni App iliyojaa Features za moto[emoji91][emoji91]
mfano! umeweka mkeka na unataka kuona live goal lilivyofungwa. Unaclick sehemu ya Highlight then unachagua Team Na unafungua Video kuchek GOAL![emoji33][emoji91][emoji91]
Pakua App hapa!!!![emoji116][emoji116]
Betpawa Official App Download
Download betpawa Latest Version, Quick withdraw,live matches,betpawa jackpot, and predictions, Bet small win big....betpawaapp.8b.io
Matumizi mabaya ya rasilimali "Odds"
Nilitamani angezivunja mikeka mitatu, minne au mitano yaani kwa slots, hapo angekua kammaliza muhindi maana odd zote zimechanwa na team moja, which means ungechanika mmoja na angebaki na faidaHahaha ... kwa kweli, uumize kichwa utafute odds zote hizo af unastake 300???!!! seriously? bora angeweka hata buku.
Kama roho yako inaweza kuvumilia LLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLWLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL karbu sana,Ushauri Weka mtaji mkubwa odds ndogo.At least una weza kuishi miaka mingi huku,Tren mara nying zinatushusha njian tena porini."Kujaribu si kushindwa"
Nataka na mimi niunge tela katika hili chama niweze kupambana na Muhindi kwa kumcharaza na kunicharaza pia.
Nimepanga nitakuwa naweka mzigo wa Kuwin au kulose tu hadi pale nitakapoamua kubadili mbinu.
Tayari nishapakua App ya betpawa.
Naombeni muongozo zaidi.
1. App/site ipi nzuri kwa kumcharaza Muhindi?
2. Nitatumia M-pesa kufanya transaction, App inayomudu hii namba kwa makato nafuu.
3. Ligi zipi nzuri za mpira katika chama hili.
4. Nikiweka win/lose niweke over/under kwa odds zipi.
Kwa hayo machache natumai nitapata muongozo mzuri wa hili chama la kucharazana na Muhindi.
Karibuni na Ahsanteni!
Usisikilize maneno ya watu...tafuta mtaji wako njoo tuzungushe gurudumu, nisikilize mimi!"Kujaribu si kushindwa"
Nataka na mimi niunge tela katika hili chama niweze kupambana na Muhindi kwa kumcharaza na kunicharaza pia.
Nimepanga nitakuwa naweka mzigo wa Kuwin au kulose tu hadi pale nitakapoamua kubadili mbinu.
Tayari nishapakua App ya betpawa.
Naombeni muongozo zaidi.
1. App/site ipi nzuri kwa kumcharaza Muhindi?
2. Nitatumia M-pesa kufanya transaction, App inayomudu hii namba kwa makato nafuu.
3. Ligi zipi nzuri za mpira katika chama hili.
4. Nikiweka win/lose niweke over/under kwa odds zipi.
Kwa hayo machache natumai nitapata muongozo mzuri wa hili chama la kucharazana na Muhindi.
Karibuni na Ahsanteni!
Hahaha ... kwa kweli, uumize kichwa utafute odds zote hizo af unastake 300???!!! seriously? bora angeweka hata buku.