Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani maelekezo jinsi ya kushare tiketi bet pawa nina madini sitaki kubaki nayo peke yangu....tumnyooshe masharubu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukishaweka mkeka wako pale chini inatokea option ya share with facebook,WhatsApp so wewe share with whatsapp then unaituma kwenye no hata ya mshikaji wako then una copy baada ya hpo unaweza kuifuta...ukija fb sehem ya msg una paste tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is DONE for today👏.....tomorrow nayo siku🤔

20191221_005929.jpg
 
Back
Top Bottom