euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,956
- 4,412
Ulikua unazungusha gurudumu mkuu?Najiuliza nifanyeje kuishinda hii Vita na kaji,nlikua na elf 20 nkaipandisha Hadi 148000 leo Sina kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu jana kama ulichagua chache mambo mukide..kachana Astra Giurgiu tu..nyingine zimetoa fresh..View attachment 1298309
Chagua hapo...
Hapana sports betting that,ya sokaUlikua unazungusha gurudumu mkuu?
Mkuu ungeshea
Huwa hakosei Mayu potelea mbali naweka 20k leo
Kama Leicester City... Uko sahihi tena anakula goli mbili na zaidi
Man city ndio analoseKama Leicester City... Uko sahihi tena anakula goli mbili na zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app