Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wale wajuaji wa soka piga *149*01*65# kwa voda or tigo
watakupa maswali ujibu maswali yenyewe ni kwamba unapewa team u za nyuma zilizokwisha cheza kama vile chelsea vs liverpool unapewa na tarehe 11/03/17 ujibu matokeo yalivyokuwa game zipo 14 unaanzia kupewa mtonyo team 11 ukipatia zote unapata 50K but unatakiwa kuwa fasta kujibu stake ni kuanzia 500
 
pole sana
Muindi nyoko Sana Yan anakupigia kila style unayoenda Yan Kama unavyowakunja dada za watu.

Huyu jamaa n nyoko Sana arsenal na Everton Yan hamna goli hata moja
 

Attachments

  • Screenshot_20191221-174611.jpg
    31 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…