sungusungu night bundle hiyohahahahahaha Daaa nimecheka mpaka jirani yangu akastuka
Sidhani kama hoja mlizouliza na kuhitaji majibu yake, mtayapata hayo majibu.
Soon nakutafuta...Ndugu zangu tutafute mtaji na tubet kwa malengo,binafs nimejiwekea kila siku nilale na 150 au 200..single bet na live kwa sana,mwenye mtaji na anahitaji anicheki ili tumbutue uyu mbwa...wapo wanaobeza kwamba awez weka laki apate 130 yaaan faida 30 ila kumbuka ukipata 30 mara 4,obvious lazima bas unakuwa mbali...mambo ni live betting tu..na kujilipua zile unazoziamini.View attachment 1300050View attachment 1300051View attachment 1300052View attachment 1300053View attachment 1300055
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo moto ninao,nimeweka Napoli win na Madrid win halafu Mzigo mkubwa kidogo.Sasa Hapa pressure Napoli anakimbizwa balaa na Sossuolo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishaenda hii,na wamepigwa 1 Napoli daaaMkuu ukiokoa usirudie tena tumetahadharishwa Mara kwa mars hapa jf kuhusu direct win
Sent using Jamii Forums mobile app