share link mkuu la treni5 BADO SIKU TANO TUFUNGIWE LAINI ZETU NANAMBA ZA NIDA BADO SIJAPATA TOKA NIJIANDIKISHE MWEZI WA 11 ALAFU NNA TRENI LANGU LIMEONDOKA LEO MPAKA January UEFAView attachment 1302710
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss option zpi hapaIce hockey baada ya kuifatilia ,kujifunza nasema ndio betting nyepesi sana kula hela NB sina mtaji tu BLACKBURN popote walipo nawatakia Xmass njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii roho sina aiseeeHizo Odds za kutosha hapo
Nilimuua Zamaleki angefungwa Christmass ingekua poa sanaa
Huyo Molyanes mnaona hapo alipewa point 7 kama angeshinda na kashinda kweli ni kujilipua tu tuView attachment 1302810
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mayu swala la kuweka link lilikushinda kabsa? Au kwakuwa unajua bhasi unatufanyia hv wakamalia[emoji23]
Huyu Philla anavuka 110 kweli mbele ya Bucks ?
Ni mtandao wa mafias hawa manyang'au ndo wanadili na hizo mambo, wao wanadili na kufix matokeo ligi ndogo mfano ligi ya pili ya german 3rd league na zile ligi za watoto mfano under 23, na si rahisi kuingia ktk inner circle yao... Hawa jamaa huwezi kuwakuta FB wala telegram wanajitangaza eti wanauuza fixed match... labda mtu akupe mchongo namna gani unawapata... sana sana wapo huko darkweb... na uwezi kuta wanauza fixed match kwa 30$...... sahau hiyo kitu.......
Kuna thread ipo niliisomaga zamani inaelezea kila kitu kuhusu dark web. Itafute uisomeNawezaje kuzama huko dark web??
Kuna thread ipo niliisomaga zamani inaelezea kila kitu kuhusu dark web. Itafute uisome
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama laini yako ikifungwa unaweza kutumia laini yoyote kutoa hela mkuu. Shaka ondoa.5 BADO SIKU TANO TUFUNGIWE LAINI ZETU NANAMBA ZA NIDA BADO SIJAPATA TOKA NIJIANDIKISHE MWEZI WA 11 ALAFU NNA TRENI LANGU LIMEONDOKA LEO MPAKA January UEFAView attachment 1302710
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uliwaza nini kwanza mpaka kuamuwa kutupia hiyo stake kwenye option hiyo maana Mimi hiyo option nikiweka sana basi in buku tano
Sent using Jamii Forums mobile app