Na kinachouma zaidi kwenye bet sio ile stake uliyoweka bali ni kile kiasi ulichotakiwa kushinda.
Assume mtu ameweka 1000 na alikuwa ashinde laki tano ila timu moja ikachana mkeka, kitakachomuuma huyu ni kuikosa laki 5 na sio kupoteza 1000
Beskitas mfwate na gg n ov 2.5
Yapili kama.ilivyoooo
Mm nilimpa double chance akiwa dk ya 97 alikuwa nyuma kwa goli 2-3 dk ya 98 kapata penati ili aiequlize matokeo kakosa penat imeniuma balaa
Mkuu ni vyema ungeangalia kwanza historia yao ya h2h
Hapo nadhani umeona sasa option ya magoli ilikuwa muhimu maana huwa wanapata kuanzia 3.5 mara nyingi na mshindi huwa ni Sydney mara kadhaa. Mimi kwa upande wangu nipo kwa wakala muda huu maana niliweka over 3.5 na odds zilikuwa mlima kabla mechi haijaanza.
Majinga sana hayo ma standard liege yalienda kuangaliana tu uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bob tusaidie kushare ukiandaa zigo, manake nimekula vipgo Adi akili imerukaPremier League
Chelsea - Southampton
Home Win 1.40🩸🩸🩸
Saudi Professional League
Al Raed - AL Adalh
Home Win 1.48[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
First Division A
Kortrijk - Cercle Brugge
Home Win 1.78[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
First Division A
Club Brugge - Zulte Waregem
Home Win 1.21[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Premier League
Tottenham - Brighton
Home Win 1.56[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Premier League
Cefn Druids - The New Saints FC
Away Win 1.48[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Premier League
Connah'S Quay Nomads - Airbus UK Broughton
Over(2.5) 1.38[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Premiership
Rangers - Kilmarnock
1 & Over(1.5) 1.18[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Saudi Professional League
AL Hazem - AL Hilal (Ksa)
Away Win Either half Yes 1.24[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Odds 20.80
Hiyo league bhana ni ya ajabu ukikimbiza nayo unaweza tusua au ikakupoteza kwenye ulimwengu wa kubet na kufulisika kabisa!!!Mm nilimpa double chance akiwa dk ya 97 alikuwa nyuma kwa goli 2-3 dk ya 98 kapata penati ili aiequlize matokeo kakosa penat imeniuma balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sogea pembeni usitulipue na sisi mkuuNalipuka mazima
Yanga win
Tufe wote mkuuNalipuka mazima
Yanga win
Jamaa pale Kwao hajafungwa. Bt kwenye mpira chochote hutokeaNalipuka mazima
Yanga win
Tumia vpn kuifungua hiyo linkUna app yao maana jana mdau Mayu alinipa link bado iliniambia not available in your country
Sent using Jamii Forums mobile app