Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niruke nayo...?
Screenshot_20191227-174022-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI NILIFWATA ODDS ZOTE ZINAZOLIWA HOPE WALIOFWATA WAMECHEKAA
Hapo nadhani umeona sasa option ya magoli ilikuwa muhimu maana huwa wanapata kuanzia 3.5 mara nyingi na mshindi huwa ni Sydney mara kadhaa. Mimi kwa upande wangu nipo kwa wakala muda huu maana niliweka over 3.5 na odds zilikuwa mlima kabla mechi haijaanza.
 
Back
Top Bottom