Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yanga lazima apigwe goli GG ya wazi hii bookie wangu anampaishia odds Tanzania prisons kama hana akili nzuri acha aendelee kujisahau
 
MSAADA: Hivi nimitaka kumpa Away Mf. +11.5 hapo lazima nichague 2 -11.5? Hizi Handicap za Meridian zinanivuruga sana.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Imechelewa kufika hii. But almost WON


Sent from my iPhone using JamiiForums
Won buddy, yani ungeongeza hata vikapu vitano mbele.
.
Mimi niliweka wakati Taiwan ana vikapu viwili tu 4th quarter mwenzake ana nane ilihali Taiwan ndo anaongoza kwa points 78 ✔✔
 
Oi hivi match kati ya esperance ya tunisia na as vital ya kongo katika CAF CHAMPIONS nani atashinda ? dah ama kweli hela itafutwe tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…